Shuhuda Amesema "Konda wa basi la mtei amekanyangwa na lori la mafuta eneo la mizani hapa
Singida na kupasuka kichwa na ubongo kutawanyika na moyo kutoka
nje.chanzo ni konda alisuka kwenye basi na kuanza kuongea na simu ndipo
lori hilo nikamgonga lilipokuwa likirudi nyuma"
HABARI NJEMA KWA WAPENDA HANDBAGS TUNAJUA TEKNOLOJIA
INAVYKUA KWA SASA NA DESINGER RALPH LAUREN KAONA FURSA HII NA KUAMUA
KUTENGENEZA HANDBAG AMBAYO ITAKUWEZESHA WEWE USIWAZE SIMU AU TABLET HATA
IPAD IKIISHA CHARGER UNAFANYAJE,
YES NI GAUNI LILE ALILOTINGA NALO KWENYE OSCAR AWARDS YASEMEKANA LIMEIBIWA WAKATI LUPITA AMETOKA ,LILIIBIWA HUKO KATIKA HOTEL NDANI YA ROOM YAKE ALIKOFIKIA WEST HOLLYWOOD.
Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Kapteni John Damian Komba amefariki dunia ktk Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam leo saa kumi jioni.