ROSHAN HANDBAG'S

ROSHAN HANDBAG'S

Tuesday, 10 February 2015

HAYA NDIYO MAONYESHO YA MAVAZI YA PINDA

MAONYESHO HAYO YA PINDA YALIFANYIKA DECEMBER 13 MWAKA JANA.



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katka picha ya pamoja na wanachama wa Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini  Dar es salaam, 


Shinyanga baadhi ya washiriki wa maonyesho ya mavazi yaliyoandaliwa na umoja
wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini  Dar es salaam, Desemba 12, 2014 wakijitambulisha baada ya onyesho hilo.  Chakula hicho  kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha  kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani 

No comments:

Post a Comment