HILI GAUNI LIMETENGENEZWA NA MWANAMITINDO CALVIN KLEIN NA LIMESHONWA KW KUTUMIA PEARLS ZIKO 6000 NDIYOOO ELFU SITA
thamani ya gauni hilo ni dollar za kimarekani 150,000 sawa na pesa za kitanzania 274,695,088.45 bado polisi wanaendelea kumsaka mwizi wa gauni hiloo
No comments:
Post a Comment