ALIANZISHA KAMPUNI YAKE IITWAYO Diane von Fürstenberg (DvF) MWAKA 1997 NA NDIPO ALI INTRODUCE HILO GAUNI LA KUZUNGUSHA.
DVF IKO ZAIDI YA NCHI 70 DUNIANI NA HEADQUARTERS ZAKE ZIKO HUKO MANHATTAN
MWAKA 2005,CFDA (THE COUNCIL OF FASHION DESIGNERS OF AMERICA)ILIMPA TUZO YA LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD NA MWAKA ULIOFATA WA 2006 ALITAJWA KUWA RAISI WA COUNCIL HIYO.
MWAKA 2014 ALIWEKWA KWA LIST YA MOST POWERFUL WOMAN KWA MAGAZINE YA FORBES
No comments:
Post a Comment