ROSHAN HANDBAG'S

ROSHAN HANDBAG'S

Tuesday, 10 March 2015

KIM KARDASHIAN VS WEMA SEPETU:




Ni ukweli usiopingika kabisa kua WEMA SEPETU anampenda kim kardashian, hichi ndicho kilichomvutia wema toka kwa kim kardashian....



 
 Both Ladies wearing one shoulder red gowns,Kim Kardashian akiwa kwenye MTV Latin America mnamo mwaka 2008. nae Wema Sepetu akatoka na gauni la mtindo huo huo in her movie premier mwaka 2012.



















Both wearing colour blocked sweetheart neckline gowns. Kim Kardashian kwenye photoshoot mwaka 2009 akiwa amevalia gauni la mwanamitindo Rafael Cennamo. Wema Sepetu nae mwaka 2013 kwenye Bongo Black Ball alionekana akiwa amevalia gauni la mtindo huohuo
 
 Both ladies in black mermaid silhouette gowns. Kim Kardashian alivalia gauni hilo la Zac Posen kwenye Gabrielle's Angel Foundation mnamo mwaka 2010. Wema Sepetu nae kwenye Kili Music Awards mwaka 2014 alichomoza na gauni la mtindo huo huo
 
 Both in V- neckline white ensembles. Kim Kardashian ndani ya white Brian Rennie for Basler gown kwenye Elton John AIDS foundation Academy Awards mnamo February mwaka 2013. Wema Sepetu kwenye Miss Dar City Center Beauty Pageant mnamo June 2013 alitokelezea na gauni la mtindo huo huo


The one shoulder action, both in one shoulder dresses. Kim Kardashian ndani ya white Ina Soltani gown kwenye Emmy Awards mwaka 2009. Wema Sepetu nae katika birthday yake mwaka 2014 alivalia gauni la mtindo huo piaa

tumemuona Kim Kardashian in tan/nude/beige coloured oufits akiwa kapeendezaa viliiivo! hapa pia Kim Kardashian ndani ya beige thigh high slit gown for a photo-shoot mnamo July, 2014. Wema Sepetu nae kwenye birthday ya Diamond mnamo October mwaka 2014 also in a beige thigh high slit gown.


ama hakikaa KIM KARDASHIAN ni kipenzi cha wema

No comments:

Post a Comment